CONTE BADO HAJAMALIZA USAJILI CHELSEA

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte, anaripotiwa kuwa na mpango wa kuiongezea nguvu safu yake ya ushambuliaji kwa kusajili straika mwingine.

Taarifa kutoka ndani ya klabu hiyo zilieleza jana kwamba, kwa sasa nyota huyo ameshaanza kuteta na nyota wa Inter Milan, Antonio Candreva.

No comments