EVERTON YAJIPANGA KUMNG'OA KIUNGO WA NICE

TIMU ya Everton inaripotiwa kutaka kumsajili kiungo wa Nice, Jean Seri,  ambaye pia ananyatiwa na Arsenal.

Taarifa zinaeleza kuwa vinara hao wa Ligi Kuu England wanapanga kufanya hivyo endapo watashindwa kumpata staa wa Swansea City, Gylfi Sigurdsson ambaye wamekuwa wakimfukuzia kwa muda mrefu.

No comments