FIOLENTINA KUMUADHIBU MSHAMBULIAJI WAKE

UONGOZI wa klabu ya Fiorentina umepanga kumuadhibu mshambuliaji wake, Nikola Kalinic raia wa Croatia iwapo atashindwa kuripoti leo kikosini.

Staa huyo amekuwa akishiikiza kuondoka baada ya kuwepo na ofa ka kutua katika timu ya AC Milanya nchini Italia.

AC Milan wamepele ofa lakini imekataliwa jambo linalonchukiza staa huyo anayeshinikiza kuondoka.

No comments