Habari

HATIMAYE DEMBELE KUTUA BARCELONA KWA PAUNI MILIONI 138

on

Hatimaye Barcelona inakaribia kumsajili kinda  hatari wa Borussia Dortmund, Ousmane Dembele lakini itawagharimu mara kumi ya ambavyo ingewagharimu iwapo wangemnunua msimu uliopita.
Maafisa wa Barcelona walikutana viongozi wa Borussia Dortmund huko Monaco, Ufaransa Alhamisi wakati wa upangaji wa ratiba wa Ligi ya Mabingwa na kuzungumza juu ya dili la Dembele mwenye umri wa miaka 20.
Viongozi hao wakalithibishia gazeti la Mundo Deportivo la Hispania kuwa mambo yamekwenda vizuri na kwamba kimsingi makubaliano ya awali ya usajili wa pauni milioni 138 yameafikiwa.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *