STAA wa Hip Hop Jay Z, ameachia video ya wimbo wake mpya, ManyfaCedGod aliomshirikisha James Blake.

Katika video hiyo wimbo unaopatikana katika albamu aliyoiachia hivi karibuni ya 4:44, Jay Z amemtumia mwigizaji mwenye asili ya Kenya, Lupita Nyong O.

Jay Z amekuwa akiachia video kila wiki tangu alipoitambulisha 4:4:4 miezi miwili iliyopita.

Baadhi ya ngoma ambazo ameachia video zake ni pamoja na 4:44 Bam aliomshirikisha Damian Marley na Kill Jay Z.


Mpaka sasa ni nyimbo ni nyimbo sita pekee ambazo msanii huyo hajazitelea video zikiwemo ‘Marcy me’ ‘Family Feud’ na ‘Legacy’.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac