JURGEN Klopp amewashangaza mashabiki wa Liverpool baada ya kusema mapema Manchester City ndio watakaokuwa mabingwa wa Ligi Kuu England msimu huu. 

Klopp amedai hivyo kisa Man City kufanya usajili mkubwa ukiwanasa Kyle Walker, Benjamin Mendy, Bernardo Silva, Danilo, Douglas Luiz, Ederson na Wilfredo Cabalerro, huku kikosi chao kikiwa tayari na wakali wengine kama straika Gabriel Jesus.


Hata hivyo mashabiki wa Liverpool wanashanga kocha wao kwa kwenda vitani huku akitambua kabisa anakwenda kushindwa.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac