KIUNGO KEVIN PRINCE BOATENG AACHANA GHAFLA NA TIMU YAKE YA LAS PALMAS

KIUNGO Kevin Prince Boateng amewashangaza mashabiki wa timu yake ya Las Palmas baada ya kusitisha ghafla mkataba wake.


Boating ameiacha timu hiyo huku viongozi wake wakizitaja sababu binafsi ndizo zilizochangia.

No comments