KOCHA WA EVERTON AWEKA ASILIMIA 100 ZA KUMPATA GIROUD

BOSI wa klabu ya Everton, Ronald Koeman ameripotiwa kuendelea kuwa na matarajio ya kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Olivier Giroud ambaye amekiri kutaka kutua katika kikosi hicho.


Giroud anaweza kuondoka katika kikosi hicho baada ya kuenguliwa kwenye mipango ya kocha msimu ujao wa Ligi Kuu nchini England, Koeman anataka kutengeneza kikosi cha ushindi akiamuunganisha Giroud sambamba na Wayne Rooney aliyetua akitokea Manchester United.

No comments