MAJANGA ARSENAL!!! PAUNI MILIONI 35 ZAMPELEKA ALEX OXLADE-CHAMBERLAIN CHELSEA


Alex Oxlade-Chamberlain yupo mazungumzoni na Chelsea juu ya maslahi yake binafsi baada ya Arsenal kukubali kumuuza mshambuliaji huyo kwa wapinzani wao wa London. 

Nyota huyo wa kimataifa wa England anategemewa kusaini mkataba wa miaka mitano Chelsea pindi atakapofuzu vipimo vya afya.

No comments