MAMA KIJACHO WA RONALDO AJIACHIA BATANI NA "KITUMBO" CHAKE

MREMBO mwenye ujauzito wa mwanasoka Christiano Ronaldo, Georgina Rodriguez, hajali kuhusu hali aliyonayo na badala yake amekuwa akijiachia tu mbele ya kamera za mapaparzai.

Mlimbwende huyo, mwenye umri wa miaka 22, ambaye inasemekana ana ujauzito wa miezi mitano, amenaswa akiwa na bikini tu, ikiwa ni  moja ya sehemu zake za kula bata.


Ronaldo na Georgina walianza kutoka mwaka jana, baadaya kukutana katika moja ya hafla za mitindo.

No comments