MANCHESTER UNITED WANG'ANG'ANA NA BEKI WA VALENCIA

VINARA wa Ligi Kuu England, Manchester United bado hawajachoka kumfuatilia beki wa kati anayechezea timu ya Valencia, Ezequiel Garay.

 Pamoja na uwepo wa Lindelof na Erick Bailly bado uongozi wa Manchester United unaona kuna haja ya kutafuta beki mwingine wakati.


Hesabu za Jose Mourinho ni kuhakikisha wanakuwa na kikosi kipana kitakacholeta upinzani kwa muda mrefu.

No comments