Habari

MANCHESTER UNITED YACHINJIWA BAHARINI NA BARCELONA KWA KIUNGO SERGI ROBERTO …Chelsea nayo yajitosa

on

MA
Manchester United imepeleka ofa ya pauni milioni 36 kwaajili ya kumsajili kiungo wa Barcelona Sergi Roberto, lakini miamba hiyo ya Hispania imeitupilia mbali ofa hiyo.
Kwa mujibu wa ripoti kutoka Hispania, Chelsea nao wanatajwa kuwa mbioni kupeleka ofa yao ili kujaribu kumnasa kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25.
Chelsea ni kama wanajutia kumuuza Nemanja Matic na sasa wanasaka kwa udi na uvumba kiungo mpya akiwemo  Danny Drinkwater wa Leicester.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *