MANCHESTER UNITED YAMPIGIA HESABU KINDA RYAN SESSEGNON WA FULHAM


Manchester United inampigia hesabu kinda hatari wa Fulham Ryan Sessegnon ambaye pia anawindwa na Tottenham.

Kinda huyo mwenye umri wa miaka 17, amekuwa akiendelea kuwavutia maskauti wengi wengi kutokana kiwango bora anachokionyesha, huku Fulham ikisisitiza  kuwa nyota huyo hayuko sokoni.

No comments