KAPO inayokuja kwa kasi mjini hapa ya Khloe Kardashian, 33, na mcheza kikapu wa Ligi Kuu ya NBA, Tristan Thompson, 26, imezidi kushika kasi kufuatia wawili hao nao kuiongezea kachumbari.

Khloe na Tristan wapo kwenye uhusiano kuanzia mwanzoni mwa mwaka huu huku vyombo mbalimbali vya udaku vikiripotiwa matukio yao A-Z.

Wawili hao wameonekana pia wakiwa wamejiachia kwa kupigana Makis mfululizo kwenye pati ya mdogo wa khloe, Kyle Jenner ambaye alikuwa akisherekea sikuku yake ya kuzaliwa ambapo alikuwa akitimiza miaka 20.


Khloe alitupia ‘clip’ kwenye mtandao wa Snapchat ikimuonyesha akikis na Tristan huku nyingine wakicheza na kukumbatiana kuufurahia usiku huo wa juzi.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac