MERSEILLE YATHIBITISHA KUMWITAJI "MTUKUTU" DIEGO COSTA

KLABU ya Marseille imethibitisha kuwa na nia ya kupata huduma ya mshambuliaji mtukutu wa Chelsea, Diego Costa mwenye miaka 28.

Costa pia anawindwa na klabu ya Atletico Madrid ya nchini Hispania ambayo inataka kumchukua kwa mkopo.


Staa huyo amekuwa akikimbiwa na klabu kubwa kutokana na mwenendo wake wa utukufu akiwa Chelsea.

No comments