MESSI AZIRUKA TETESI ZA KUFANYA UHAMISHO NA MAN CITY

MFALME wa timu ya Balcelona, Lionel Messi amekanusha kufanya mazungumzo ya uhamisho na klabu ya Manchester City ambayo imekuwa ikimwinda kwa muda mrefu.

Man City tangu ichukuliwe na matajiri wa Kiarabu imekuwa ikiota kumleta Lionel katika dimba la Etihad, jambo ambalo limeshindikana.


Messi amesema kuwa hajawahi kukutana na Pep Guardiola na kuzungumzia uwezekano way eye kuondoka Nou Camp na kwenda kucheza kucheza katika Ligi ya England. 

No comments