MONACO WAMWANDALIA SANCHEZ PAUNI MIL 45

MABINGWA wa Ufaransa, Monaco wameandaa kiasi cha pauni mil 45 ili kumsajili mshambuliaji wa Arsenal, Alexis Sanchez ambaye anakaribia kumaliza mkataba wake.


Hiyo imekuja baada ya kuwapo na taarifa za kuachana na kinda wake mahiri, Kylian Mbappe ambaye akili yake imehamia nchini Hispania.

No comments