Habari

MOURINHO ASEMA ALIJITOLEA REAL MAFRID KULIKO KLABU YOYOTE ILE

on

Kocha wa Manchester United Jose Mourinho, amedai alijotolea zaidi kwa Real Madrid kuliko klabu zingine alizowahi kufundisha.
Kuelekea mchezo wa Super Cup leo usiku huko Macedonia kati ya Manchester United na Real Madrid, Mourinho akasema alijitolea sana kwa mabingwa hao wa Hispania.
Mourinho aliingia Real Madrid mwaka 2010 na kudumu hadi 2013 huku akiiachia timu hiyo mataji mawili tu – moja la La Liga na moja la Copa Del Rey.
Kocha huyo akaondoka Madrid huku akilaumiwa kwa kuwa na mahusiano mabaya na wachezaji nyota kama Iker Casillas, Cristiano Ronaldo na Sergio Ramos. 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *