MTOTO WA KIM KADARSHIAN AELEKEA KUFUATA NYAYO ZA MAMA YAKE KWENYE "UMODO"

NORTH West ambaye ni mtoto wa mwanamitindo, Kim Kadarshian ameonekana kuanza kufuata nyazo za mama yake baada ya kuanza kuchezea vipodozi vya mama yake mara kwa mara.

Akiwa na umri wa miaka minne ameonekana mara kwa mara akichea vipodozi vya mama yake kupitia kipind cha ‘Keeping Up With the Kardashians’.

Kim Kadarshian alipata mtoto huyo baada ya kuzaa na mume wake, Kanye West ambaye ni rapa na mtayarishaji wa muziki wa Hip hop nchini Marekani.


Wawili hao wamejipatia umaarufu kupitia kipindi cha 'Keeping Up With Kadarshian' ambacho kinaonekana ulimwenguni kote kikianika maisha yao.

No comments