NDOTO ZA BARCELONA KUWANASA COUTINHO NA DEMBELE ZAANZA KUYEYUKA MDOGOMDOGO

BARCELONA itashindwa kuinasa saini ya mshambuliaji wa Liverpool, Mbrazil Philippe Coutinho na Ousmane Dembele kwa wakati mmoja kwa kuwa fedha iliyotumika kumuuza Neymar hawezi kununua wachezaji hao wawili kwa mpigo.


Dembele anayekipiga Borrusia Dortmund yuko katika mipango ya kutua Camp Nou lakini inaelezwa kuwa mpango huo huenda ukazimika lakini emdapo kati ya mmoja wao atasajili ambaye ni kipaumbele.

No comments