NEW SONG: ALEX WA MACHEJO AIBUKA NA WIMBO WA SINGELI "WANAFOSI UJANA"

Mkali ngoma ya “Ngekewa” na “Sikudhani” Alex wa Machejo, ameibukia kwenye singeli ambapo amechia wimbo mkali unaokwenda kwa jina la “Wanafosi Ujana”. Usikilize na u-download hapa chini.

No comments