NIYONZIMA: HAPA SIMBA SC NAJISIKIA KAMA NIKO NYUMBANI

KIUNGO mpya wa Simba raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima amesema kwamba amefarijika kuona wachezaji wa timu hiyo ni waungwana na anajisikia yuko nyumbani.

No comments