P DIDY AJUTIA BIFU... asema wanamuziki wa sasa hawapaswi kuendeleza chuki

RAPA P. Didy ameibuka na kusema kuwa wanamuziki wa sasa hawapaswi kundeleza chuki baina yao kama ambavyo wao walikuwa wakifanya miaka ya nyuma.

Rapa P Didy alikuwa sambamba na Notorius B.I.G ambapo walikuwa na bifu zito dhidi ya hayati 2pac Shakuur ambaye anaminikia kuwa mwanamuziki bora wa mitindo ya Hip Hop duniani.

Bifu la marapa hao linasadikika kuwa chanzo cha kifo cha rapa 2pac Shakuur na Nototrius B.I.G.

“Nadhani wanamuziki wa sasa hawafahamu kuwa upande wa pili wa chuki zao unebeba hisia za mashabiki wao ambao wanaweza kufanya lolote,” alisema Didy.

No comments