PHILIPPE COUTINHO yupo tayari kusafisha hali ya hewa na kuendelea kuitumikia Liverpool baada ya kukiri kuwa ndoto yake ya kujiunga na Barcelona imegonga ukuta.
Nyota huyo wa Liverpool mwenye umri wa miaka 25, aliomba uhamisho ili ajiunge na Barcelona lakini klabu yake ilikataa katakata kumpiga bei.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac