PICHA 20: CHRISTIAN BELLA ALIVYOITEKA TABATA JUMAMOSI USIKU … ‘aziumbua’ bendi za dansi, nyomi si la kitotoJumamosi usiku Christian Bella akiwa na bendi yake ya Malaika, alipiga show kubwa ndani ya ukumbi wa BL Park na kuhudhuriwa na umati mkubwa wa mashabiki wa muziki.

Umati ule kwa kiingilio cha shilingi 10,000 na 20,000 ilikuwa ni kama kuziumbua bendi za dansi ambazo nyingi zimejikita kwenye show za kiingilio kinywaji.

Pata picha 15 za onyesho hilo la Malaika Band ndani ya BL Park Tabata Kinyerezi, halafu stori zaidi utaisoma kwenye Aya 15 za Said Mdoe Jumatatu hii.
 Babu Bomba kwenye bass
 Dully Sykes (kushoto) akikaribishwa na Bella kusalimia mashabiki
 Bella akiimba mbele ya mashabiki wake
 Mpiga solo aliyerejea kundini Coco Ngemba
 G Mbona kwenye tumba
 Redock Mauzo wa FM Academia akisalimia jukwaa la Malaika Band
 Fabrice Mauzo wa FM Academia naye pia akisalimia jukwaa la Malaika Band
 Tazama nyomi hilo kwenye eneo la VIP la shilingi 20,000
 Bella na shabiki wake
 Umati wa watu kwenye dancing floor
 Makamuzi yakiendelea jukwaani
 TID akisalimia mashabiki
 Rapa wa Malaika Band  Totoo ze Bingwa
 Sehemu ya mashabiki waliofika BL Park
 Msanii wa bongo movie akimtuza pesa Christian Bella
 Wasanii wa Malaika Band jukwaani
Waimbaji wa Malaika Band

No comments