ROSS BARKLEY ASEMA YUKO TAYARI KUJIPUNGUZA MSHAHARA ILI KUOKOA KIBARUA CHAKE SPURS

STAA anayewindwa wa Everton ambaye anawindwa na Tottenham, Ross Barkley, amesema yupo tayari kupunguza gharama za mshahara wake ili asije akapoteza nafasi hiyo ya kukipiga Spurs.

Kwa sasa kuna mchezaji mmoja katika kikosi hicho cha kocha Mauricio Pochettino ambaye analipwa zaidi ya pauni 100,000 kwa wiki na huku wakiwa wanaonekana kutokuwa na mpango wa kuongeza mzigo zaidi.

No comments