SIKILIZA WIMBO MPYA "HAPA KAZI TU" WA SKY MELODIES BAND YA DODOMA


Wakati watu wengi wakiamini muziki wa dansi upo Dar es Salaam peke yake, bendi hii ya Sky Melodies kutoka Dodoma, inakuthibitishia kuwa mikoani pia muziki wa dansi upo.

Wiki mbili zilizopita, Sky Melodies chini ya mwimbaji Nicco Milliomo iliachia ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la “Hapa Kazi Tu” ambao ndani yake utamsikia pia Grayson Semsemkwa akifanya vitu vyake.

No comments