Habari

SIMBA YAENDELEA NA DOZI NENE KISIWANI ZANZIBAR

on

KIKOSI cha Simba nchini ya
kocha Joseph Omog na msaidizi wake, Jackson Mayanja kimeendelea kula dozi kisiwani Zanzibar.
Simba inajiandaa na mechi yake
ya ngao ya jamii wikiendi ijayo dhidi ya Yanga kwenye uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam.
Wachezaji wa Simba walionekana
wako siriazi katika mazoezi ya Simba yanayofanyika kwenye uwanja wa Amani, mjini Zanzibar.
Hakuna aliyeonyesha utani hata
kidogo, huku kila mmoja akijituma na kukimbia kwa kasi kubwa alipotakiwa
kufanya hivyo.

Zaidi yaliyonekana ni mazoezi
ya kutafuta unyumbulifu, umakini wa pasi na mengine kadhaa.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *