TOTTEN HAM YAENDELEA KUISAKA SAINI YA SERGE AURIER KISIRISIRI

KLABU ya Totten Ham inaendelea kufanya jitihada za chinichini ili kuinasa saini ya beki wa PSG, Serge Aurier mwenye umri wa miaka 24.

Ikiwa watamkosa beki huyo, Spurs wanaweza kuhamia kwa beki wa Estudiantes, Juan Fouyth.


Klabu hiyo inafanya kila liwezekanalo kuhakikisha inakuwa na kikosi kabambe kitakacholeta upinzani kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

No comments