Totteham imepangiwa kundi gumu kwenye michuano ya Champions League ambapo ratiba imewaweka kundi H wakiwa na mabingwa watetezi Real Madrid na Borussia Dortmund.

Lakini Manchester United, Manchester City na Liverpool zimepata mchekea.

Hii ndio ratiba kamili ya hatua ya makundi inayotarajiwa kuanza Septemba 12.

Hivi ndivyo mambo yalivyo kundi A,B,C na D
kundi E, F,G na H


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac