TOTTENHAM YAGOMA KUMWACHIA DANNY ROSE CHINI YA PAUNI MIL 50

KLABU ya Tottenham sasa imekuja na sera mpya ikisema kuwa kama klabu haikutoa pauni mil 50, beki wake Danny Rose haondoki.

Beki huyo wa kushoto anatakiwa kwa udi na uvumba na klabu za Manchester United na Chelsea.

Pamoja na kuweza kiwango hicho, klabu hiyo inataka kumtema baada kumlima faini kwa kumtaka kumtema baada ya kumlima faini kwa kumtaka mshahara wa wiki mbili kutokana na utovu wa nidhamu.


Spurs inataka kumtoa lakini anayemtaka aje na dau hilo.

No comments