TOTTENHAM YAKANUSHA KUMFUNGULIA MILANGO DANNY ROSE

UONGOZI WA Tottenham umekanusha taarifa zilizoenea kuwa wanaweza kumfungulia mlango beki wao wa pembeni Danny Rose.


Spurs wamesema hawatakuwa tayari kukaa meza moja na klabu inayomtaka Mwingereza huyo mwenye umri wa miaka 27.

No comments