WENGER APASUA KICHWA KUMNASA KIUNGO JEAN SERI WA NICE

KOCHA Arsene Wenger anatazama uwezekano wa kumsajili kiungo wa Nice, Jean Michael Seri ambaye aliweka wazi kutaka changamoto mpya.

Habari zinadai kuwa washika mitutu hao wamejipanga kuchuana na Tottenham kuipata saini ya Seri.


Spurs nao pia wanahitaji saini ya kiungo huyo baada ya kuingiwa na hofu ya kuondokewa nyota wao Delle Alli.

No comments