WESLEY HOEDT MBIONI KUTUA SOUTHAMPTON

KLABU ya Southampton ambayo inatarajia kuwa kisima cha vipaji nchini England baada ya kuwaibua mastaa wengi wakubwa hivi sasa na yenyewe ipo mbioni kukamilisha usajili wa Wesley Hoedt raia wa Uholanzi.


Klabu hiyo imeripotiwa kupeleka ofa ya pauni mil 15 kwa Lazio ili iweze kupata saini ya beki huyo mwenye miaka 23.

No comments