ZINEDINE ZIDANE SASA AMUWEKA BALE SOKONI

KOCHA wa timu ya Real Madrid, Zinedine Zidane amesema kuwa kama klabu hiyo inahitaji saini ya kinda wa Monaco, Kylian Mbappe italazimika kumweka sokoni mshambuliaji wa Gareth Bale raia wa Wales.


Hiyo inaweza kuwa habari njema kwa kocha, Jose Mourinho ambaye ameripotiwa kuisaka saini yake kwa nguvu kabla ya dirisha la usajili kufungwa.

No comments