Kocha wa PSG Unai Emery amesema ushindi wa timu yake dhini ya Bayern Munich kwenye mechi ya Champions League, inachochea kiu yake ya kutaka kumaliza namba moja kwenye kundi B.

Miamba hiyo ya Ufaransa ikaibuka na ushindi mnono wa 3-0 kupitia kwa magoli ya Dani Alves, Edinson Cavani na Neymar.USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac