AUDIO: SIKILIZA REMIX YA “MWANAUME MASHINE” KUTOKA MSAGA SUMU NA NAMCY VANAIle ngoma inayosumbua sana Bongo “Mwanaume Mashine” kutoka kwa Msaga Sumu, sasa imekuja kivingine.

Safari hii inanogeshwa na sauti tamu ya mwadada hatari Namcy Vana kwenye bonge la ‘remix’ ya wimbo huo wa “Mwanaume Mashine”.

Namcy Vana anaunganishwa na Msaga Sumu kwenye remix hii na kwa pamoja wasanii hao wawili wanazalisha wimbo wenye ladha ya kipekee. Usikilize hapo juu.


No comments