BINTI WA MIAKA SITA AKIRI KUKOSESHWA RAHA NA CHATU ANAOCHEZEA MAMA YAKE MZAZI

MTOTO Ruti Samson (6), ambaye ni mkali wa sarakasi amefunguka kuwa anaogopeshwa mno na nyoka ambao mama yake mzazi, Neema Maganga huwa anapendelea kucheza nao mara kwa mara jukwaani.

Ruti ambaye anasoma darasa la kwanza katika shure ya msingi Umoja jijini Dar es Salaam amesema kuwa sio kuwaogopa tu nyoka hao bali pia huwea anawaonea kinyaa.


“kusema ukweli wakati mwingine huwa naona tabu hata kura chakula sahani moja na mama yangu kwa jinsi ninavyomuona akicheza na nyoka ambao wakati mwingine ana waingiza mdomoni na kuwa lamba.”

No comments