CHAMBERLAIN ASEMA KLOPP ALIMVUTA KUTUA LIVERPOOL

MSHAMBULIAJI wa zamani wa timu ya Arsenal, Alex Chamberlain amesema kuwa Klopp alikuwa sehemu kubwa ya ushawishi kwake kuhamia katika klabu ya Liverpool.


Alex Oxlade-Chamberlain amebainisha kuwa uwezo wa Jurgen Klopp kwenye klabu ni miongoni mwa sababu kuu zilizomshawishi kujiunga na Liverpool majira ya joto. 


No comments