CHELSEA USIPIME!! YAIFANYIA MAUAJI QARABAG 6-0 ...Roma, Atletico Madrid hakuna mbabe

Qarabag ya Azerbaijani imekutana na kimbunga cha Chelsea kwenye Ligi ya Mabingwa baada ya kukubali kichapo cha bao 6-0 kwenye mchezo wa kundi C uliochezwa Stamford Bridge.


Mabao ya Chelsea yaliwekwa wavuni na Pedro, Davide Zappacosta, Cesar Azpilicueta,  Tiemoue Bakayoko na Michy Batshuayi aliyefunga mara mbili.


CHELSEA (3-4-3): Courtois 6; Azpilicueta 6 (Rudiger 74, 5), Christensen 6, Cahill 6; Zappacosta 7.5, Fabregas 7, Kante 7 (Bakayoko 63, 6), Alonso 6; Willian 7, Pedro 6.5 (Hazard 58, 6); Batshuayi 7.

Wafungaji: Pedro 5, Zappacosta 30, Azpilicueta 55, Bakayoko 71, Batshuayi 76, 82

QARABAG (4-4-1): Sehic 5; Medvedev 5, Huseynov 5, Sadygov 5 (Madatov 70, 5), Rzezniczak 5; Garayev 5 (Diniyev 70, 5); Henrique 6 (Elyounoussi 77), Michel 5, Almeida 5, Guerrier 5; Ndlovu 5.

Roma ya Italia ikaambulia sare ya 0 - 0  dhidi ya Atletico Madrid ya Hispania kwenye mchezo mwingine wa kundi C.

No comments