VYOMBO vya habari nchini England vimeripoti kuwa kiungo David Silva yuko mbioni kutua katika klabu ya Fenerbahce ya nchini Uturuki.

Silva amekuwa kwenye wakati mgumu nchini England baada ya kukosa namba ya uhakika kwenye kikosi cha kwanza.


Fenerbahce imepanga kukamilisha usajili huo kwenye dirisha dogo la mwezi Januari.

USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac