MLINDA mlango wa Manchester United, David de Gea ameripotiwa kuanza kampeni za kumshawishi beki wa Real Madrid, Sergio Ramos kutua Old Trafford.

Beki huyo aliwahi kuwindwa na Manchester United enzi za Van Gaal lakini uhamisho huo ulikwama dakika za mwishoni.


Manchester United inajaribu kumtumia De Gea ili kumshawishi beki huyo nguli kuhamia England katika dirisha lijalo.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac