Habari

DIEGO COSTA AKWEA PIPA KWENDA HISPANIA KUMALIZANA NA ATLETICO MADRID

on

Mshambuliaji mtukutu wa Chelsea Diego Costa amekwea ndege kutoka nyumbani kwao Brazil kwenda Hispania kwaajili ya usajili wa bei mbaya wa kurejea Atletico Madrid.
Nyota huyo raia wa Hispania mzaliwa wa Brazil, pia amesisitiza kuwa hana kinyongo na kocha wa Chelsea, Antonio Conte licha ya Mwitaliano huyo kumkataa mwishoni mwa msimu.
Costa hatimaye amekubali kurejea klabu yake ya zamani lakini kwa usajili utakaokamilika mwezi Januari huku dau la uhamisho likitajwa kufikia pauni milioni 57.5

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *