Habari

DIEGO COSTA KITU GANI??? MORATA APIGA HAT-TRIC CHELSEA IKIUA 4-0

on

Alvaro Morata ametoa mkono wa kwa heri kistaili kwa mshambuliaji aliyeondoka Chelsea Diego Costa kwa kutupia wavuni mabao matatu wakati timu yake ikivuna ushindi mnono wa 4-0.
Katika mchezo huo wa Ligi Kuu ya England uliowakutanisha mabingwa watetezi dhidi ya Stoke City, ukashuhudia Morata aliyetua Chelsea msimu huu akifungua kitabu cha magoli katika sekunde ya 83 ya mchezo.
Goli lingine la Chelsea lilifungwa na Mhispania mwingine Pedro. 
Stoke City (3-4-3): Butland 6; Johnson 5, Martins Indi 6.5 (Afellay 76, 6), Pieters 6; Diouf 7, Fletcher 4.5, Allen 6, Ramadan 5.5; Shaqiri 6.5, Choupo-Moting 6, Jese 5.5 (Crouch 61, 6.5) 
Chelsea (3-4-3): Courtois 6.5; Azpilicueta 8, Christensen 6.5, Rudiger 7; Moses 6.5, Kante 6.5, Bakayoko 7, Alonso 6.5 (Cahill 58, 6); Willian 7 (Hazard 73, 6), Morata 9, Pedro 7.5 (Fabregas 68, 7) 
Wafungaji: Morata 2, 77, 82, Pedro 30

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *