Habari

DOUBLE M PLUS YA MUUMIN KUMIMINA UHONDO MAPINGA IJUMAA HII

on

Bendi ya Double M Plus ya Mwinjuma Muumin, Ijumaa hii itamimina uhondo
ndani Mapinga, Bagamoyo.
Akiongea na Saluti5 Muumin amesema onyesho hilo litafanyika ndani ya
ukumbi wa Container Bar ulioko jirani na kituo cha Polisi cha Mapinga.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *