Kati ya mwaka 1998 na 2002, DWIGHT YORKE alicheza kama mashambuliaji kiongozi wakati Manchester United ilipokuwa ikiziadhibu timu pinzani kiulani.

Na sasa gwiji huyo wa Old Trafford anasema chini ya kocha Jose Mourinho, Manchester United inarejesha makali yake ambayo yalipotea katika miaka ya karibuni.

Yorke ambaye alicheza sambamba na Andy Cole na kuiwezesha Manchester United kutwaa Champions League mwaka 1999, anaamini klabu hiyo ina uwezo wa kutwaa mataji makubwa Engand na Ulaya.


USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac