EUCHARIA WA NOLLYWOOD AENDELEA KUOMBOLEZA KIFO CHA MWANAWE ALIYEFARIKI MWAKA 2002

STAA wa fiamu za Nigeria, Eucharia Anunobi bado anaendelea kuonyesha masikitiko kufuatia kumpoteza mtoto wake, Raymond Ekwu mwaka 2002.

Mtoto huyo alizaa na Charless Ekwu ambaye baadae walikuja kuvunja uhusiano wao wa kimapenzi.

Mtoto huyo alifariki kwa ugonjwa wa siko cell ambao unasumbua watu wengi duniani.

“Bado nakumbuka jinsi ambavyo nilishindwa kuokoa uhai wa mtoto wangu, inaniumiza sana,” alisema staa huyo.

No comments