GABRIEL JESUS AWEKA HISTORIA MPYA YA MAGOLI PREMIER LEAGUE


Gabriel Jesus anaelekea kujiwekea historia ya aina yake kwenye Premier League baada ya kuanza msimu kwa kasi ya ajabu. 

Unapohesabu wachezaji wenye magoli 10 kwenye Premier League, Jesus anakusanya wastani wa bao moja katika kila dakika 88 na sekunde 82.

Wastani huo unamfanya Jesus  kushika namba moja kwenye orodha ya wachezaji wenye wastani mzuri wa dakika katika kila magoli yao 10 kwenye historia ya Premier League.


No comments