ISCO AKANA KUKUTANA NA MOURINHO KUHUSU UHAMISHO WA KUTUA UNITED

KIUNGO wa timu ya Real Madrid, Isco amesema hakuwahi kukutana na Jose Mourinho ili kuzungumzia uhamisho wa kwenda Manchester United.

Isco amesaini mkataba mwingine Real Madrid huku taarifa zikidai kwamba alikuwa kwenye mipango ya kutua England.


Manchester United iliachana na mpango huo baada ya 
kukamilisha usajili wa Nemanja Matic.

No comments