JENIFFER LOPEZ NA MARC ANTONY BADO ‘DAM DAM’


KATIKA hali ya kushangaza, staa wa muziki, Marc Antony alitinga moja kwa moja kwenye steji wakati aliyekuwa mpenzi wake, Jeniffer Lopez alipokuwa akitumbuiza ukumbini.

Katika shoo hiyo Lopez aliambatana na mpenzi wake mpya, Alex Rodriguez sambamba na mtoto wao Natasha. 

Antony na Lopez walichumbiana mwaka 2004 lakini wakaja kutengana mwaka 2011 huku kila mmoja akipata mwenza mpya.

Wawili hao walifanikiwa kuzaa watoto pacha ambao ni Max na Emme.

No comments